Irene African Tailoring Mart

Irene African Tailoring Mart
P.O.BOX 34018 DSM, TEL 0787 445588

Saturday, November 6, 2010

SHAMBANI

WIKI ILIYOPITA KINA BABA WALITUPELEKA SHAMBA


PEDO SHAMBA MAMA WA MITINDO


SHOSTITO NA MKUNGU WA NDIZI


SWAGA ZA MAMI PATY



WABABA KILIMO KWANZA




SEHEMU NZURI SANA KWA KWELI




Friday, October 22, 2010


NILIKWENDA UGHAIBUNI POLENI KWA UKIMYA.

habari za siku nyingi? poleni sana kwa ukimya ilikuwa nje ya uwezo wangu. Ata ivyo tutakuwa pamoja sasa na naahidi kuwaletea mambo mbali mbali.

Saturday, September 18, 2010

TIGO PESA

Tunapenda kuwataarifi kuwa tunatoa huduma ya tigo pesa kwenye duka letu. Tigo pesa ni huduma ya kutuma nakupokea pesa. Kwa maelezo zaidi piga 0715 266 678 au 0717 301 490.

Tuesday, September 7, 2010

IRENE AFRICAN TAILORING: PUNGUZO LA BEI.

IRENE AFRICAN TAILORING: PUNGUZO LA BEI.: "Napenda kuwataarifu punguzo la bei kwa bidhaa mbali mbali kama tops, viatu, hereni nk kwa ajili ya sikukuu ya IDD. Punguzo ni kati ya asilim..."

PUNGUZO LA BEI.

Napenda kuwataarifu punguzo la bei kwa bidhaa mbali mbali kama tops, viatu, hereni nk kwa ajili ya sikukuu ya IDD. Punguzo ni kati ya asilimia 20% na 25% kulingana na bidhaa. Karibuni sana.

Tuesday, August 24, 2010

WEDDING DRESS

black fox model na nguo ya harusi iliyotengenezwa kwa bazee na irene



Thursday, August 19, 2010

NENO NA SHUKRANI

Asanteni sana kwa support yenu kwa kipindi chote toka nimeanzisha blog hii. leo nimefarijika kukuta zaidi ya wa tz 100 wamevisit blog hii. Asanteni na naahidi kuboresha zaidi kulingana na mawazo yenu. mungu awabariki na swaumu njema.
irene.

Monday, August 2, 2010

GAUNI ZA MPIRA

kwa nyuma
kwa pembeni
kwa mbele
ZINASHONWA KWA KHANGA AU KITENGE, PIA ZIPO ZILIZO TAYARI

Monday, July 26, 2010

SEND OFF YA BINTI WA MAMA ADAM



mdogo wa bibi Harusi na L/born wa Mama Adam. TUMU
Designed and Tailored by Irene African Tailoring


Tumu na fundi Irene

Jesca, Fundi na Kabula nao walikuwepo

Friday, July 23, 2010

SHUKRANI

Wapendwa marafiki, asanteni sana kwa mawazo na michango yenu ile niweze kwenda mbele. Leo ni siku ya pili toka niweke wazo ili mbele yenu na imenitia moyo sana pale mliponipa hongera na kunirekebisha. Shukrani sana kwa mlioona tatizo la lugha pale kwenye about me, na pia asante kwa changamoto ya nguo zangu zaidi
naahidi kuweka nguo na mitindo zaidi ya khanga na vitenge, japo na izo za Dubai zitaendelea kidogo.
Asante da mwanaidi, Jesca, Kamtori, Mariana, mama kaira eh mpo wengi sana jamani asante wote
advo kidhungu BIG UP
MUNGU AWABARIKI WOTE
msichoke kunishauri
imeshonwa na Irene AT
ukijiona tuambie

Thursday, June 10, 2010




mama with kikoi designed and tailored by Irene african Tailoring

Saturday, June 5, 2010

Welcome to Irene African Tailoring. We are happy to inform you on our shop located at kijitonyama, Dar es salaam