Irene African Tailoring Mart

Irene African Tailoring Mart
P.O.BOX 34018 DSM, TEL 0787 445588

Thursday, August 19, 2010

NENO NA SHUKRANI

Asanteni sana kwa support yenu kwa kipindi chote toka nimeanzisha blog hii. leo nimefarijika kukuta zaidi ya wa tz 100 wamevisit blog hii. Asanteni na naahidi kuboresha zaidi kulingana na mawazo yenu. mungu awabariki na swaumu njema.
irene.

1 comment:

Majoy said...

Ucjli best tupo pamojah,....natafuta nafasi nije kwa office yako unitengenezee kivazi nina birthday ya mwanangu nataka nivae kivazi cha kiafrica
kazi njema na mungu azidi kukubariki.

Majoy