Irene African Tailoring Mart

Irene African Tailoring Mart
P.O.BOX 34018 DSM, TEL 0787 445588

Friday, July 23, 2010

SHUKRANI

Wapendwa marafiki, asanteni sana kwa mawazo na michango yenu ile niweze kwenda mbele. Leo ni siku ya pili toka niweke wazo ili mbele yenu na imenitia moyo sana pale mliponipa hongera na kunirekebisha. Shukrani sana kwa mlioona tatizo la lugha pale kwenye about me, na pia asante kwa changamoto ya nguo zangu zaidi
naahidi kuweka nguo na mitindo zaidi ya khanga na vitenge, japo na izo za Dubai zitaendelea kidogo.
Asante da mwanaidi, Jesca, Kamtori, Mariana, mama kaira eh mpo wengi sana jamani asante wote
advo kidhungu BIG UP
MUNGU AWABARIKI WOTE
msichoke kunishauri

No comments: